Audio Uncategorized

AUDIO | Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu | Download Mp3

Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu
Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu

(Download and Stream Audio by Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu Mp3 on Wasafimusic.com)

Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu

  • Artist Name: Upendo Nkone
  • Track Title: Usifurahi juu yangu (Audio)
  • Recorded: 2022 Music
  • Country: Tanzania Music
  • Category: Latest Gospel Music

AUDIO Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu Mp3 Download

Download new gospel music song from Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu. Audio Mp3 songUpendo Nkone – Usifurahi juu yangu out today. Listen and downloadUpendo Nkone – Usifurahi juu yangu Mp3 music song below.

Related: AUDIO Upendo Nkone – Eleweka Mp3 Download

However, In fostering the record, the star gives us just when it is needed the most and every one should listen to this amazing gospel song.

Download Mp3 Upendo Nkone – Usifurahi juu yangu audio below!

DOWNLOAD MP3

Check Out The song Lyrics Below:

Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu
Niangukapo mimi nitasimama tena
Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu
Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie 

Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu
Niangukapo mimi nitasimama tena
Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu
Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie 

Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo
Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako
Kumbuka kwa maombi yako nitasimama tena
Na utapata baraka kutoka kwake Mungu 

Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo
Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako
Kumbuka kwa maombi yako nitasimama tena
Na utapata baraka kutoka kwake Mungu 

Maana heri mtu yule ambaye kinywa chake
Ni kuwabariki wenzake na kiwaombea
Maana maneno mabaya huchafua moyo
Ukiwekwa mbali na mungu ni vyema uwe safi

Ukiona niko kwenye shida niombee
Ndoa yangu imevunjika wewe niombee
Nikifukuzwa kazini ndugu niombee
Magonjwa yananiandamaa niombee

Biashara haina faida niombee
Nikikawia kupata mtoto niombee
Nimekuwa mtoto yatima niombee
Ata nijapo kuwa mjane niombee

Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa 
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa 

Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa 
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa 

Check wasafimusic.com daily as we do our best to curate and recommend you the top and best new African music releases, from taarabu music to Tanzania (Bongo) music and all East African Music and afrobeats music releases.

Telegram

Related Posts:

  1. Walter Chilambo Ft Ambwene Mwasongwe – Inatosha Mp3 Download
  2. VIDEO Martha Mwaipaja Ft Bony Mwaitege – Napendwa Na Mungu Mp4 Download
  3. Rose Muhando & Stella Mengele – Nimebarikiwa Mp3 Download
  4. Future Destin Ft Joel Lwaga & Stamina – Ngoja Mp3 Download
  5. AUDIO: Rose Muhando – Siki na Sifongo Mp3 Download
eskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escorteskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escort