Audio

Ben Pol – Wewe Lyrics

Ben Pol – Wewe Lyrics

Wewe is a Ben Pol new released single, we’ve put together the song’s lyrics below, read it and sing along. The song is his first single since the year 2023 begins.

Kama anaona ni sawaa, Anachofanya ni sawa

Siwezi kumforce, Siwezi kumlazimisha

Si ananiona Me boya, Anachofanya kunikomoa

Anajua nampenda ndo mana ananipeleka putaa

Moyoni mwangu natamani nikutoe

Natamanni nisikupende tena wewee wee

Maimivu yangu huyajali hata kidogo

Hivi unaroho gani, Mmbaya sana wewee wewee

Uhhh Ahhhh Uhhhhh Ahhhh Ahaaa

Me nataka kuwa naweee, Kuwa nawee tuu

Ulonifaya kuwa na wewe wee tu

Me nataka kuwa naweee wewe wee tuu

Ulonifaya kuwa na wewe wee Yeeeah

Hivi alitaka nini kwangu nikashindwa kumpatia

Mbona mapenzi nilimpaa, Nahata pesaa nilimpaa

Kumbe hana jemaa aaah hana jemaaa

Na inavyoonekana hata ningempa nini angenitemaa

Ulivyomzuri mtu hawezi kudhani kama unaroho mbaya wewee

Sura yako na matendo yako havifananii naweee

Telegram
eskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escorteskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escort