Lyrics

Centano – Mapenzi au Pesa Lyrics

Centano – Mapenzi au Pesa Lyrics

Fast rising Tanzanian artist publicly known as Centano is here presenting the lyrics to his brand new an trending song Mapenzi au Pesa. Check out below.

Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa

nasiwezi kupoteza vyote uulala,

Hunipi amani unipi pressure

acha ntafute pesa

nasiwezi kupoteza vyote

uuulala uuulala uuulala uulala ulalaa

Hello hello hello i know you love me

hello hello hello i know you need me

Ila tatizo drama, nakujua Unapendwa sana

Unajiona wee wa maana unasumbua sana

Hivi ni kitu gani we hupati

labda sikupi kwa wakati

oh cheza na mwili wangu usicheze na akili

usicheze na hisia zangu usicheze na mimi

maana mtaji wa masikini nguvu zangu mwenyewe

nguvu zangu mwenyewe

Sina baba sina mjomba tajirii

nguvu zangu mwenyewe mwenyewee

Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa

nasiwezi kupoteza vyote uuulala

Hunipi amani unipi pressure acha ntafute pesa

nasiwezi kupoteza vyote

uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa

Pesa nayo nini nilikosea

mana nanikimbia usiku mchana naiita aitaki kuitikia

vimeumanaa tabu sanaa

vyuma vimekaza inahitaji hekima sana

Namuomba usiku mchana mungu aniipe

Me jasho la mnyonge mungu alifute

natumia akili sana nguvu ndo yote

si unaona babaa bless me babaa

Mtaji wa masikini nguvu zangu mwenyewe

nguvu zangu mwenyewe

sina baba sina mjomba tajirii

nguvu zangu mwenyewe mwenyewee

Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa

nasiwezi kupoteza vyote uuulala

Hunipi amani unipi pressure

acha ntafute pesa nasiwezi kupoteza vyote

uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa

Telegram
eskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escorteskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escort