Keysha Ft. Alikiba – Beautiful Lyrics
Beautiful is a new single dropped by Tanzanian singer Keysha featuring Alikiba, read the song’s lyrics below and sing along.
Kwako nimefata amani
raha na burudani wengine wa kazi gani
eeeh
walisema wazee wa zamani ehh
penzi lina thamani
ila ukishinda mitihani ehh
moyo nilionao ni mmoja mmoja
napenda mmoja ambaye ni wewe
siku usizokuepo ntangoja ngoja
siwezi kuonyesha unachokiona wee
nakukukuu nakukundaga
hasa zile raha unazonipaga
yaani kama chizi navyokuaga
nakupendaaa nakupendagaa hasa zile
raha unazonipaga
yaani kama chizi navyokuaga
it is a beautiful love it is a
beautiful time X 3
I know i sleep with you baby time to
time all the time
only you all over me ah maa oh maa
sipati usingizi yaani siii oh
silallii
kama haupo nyumbanii taabanii
umenikamata oh kamata kwangu talaka
no talaka
Nakama talaka we ndo utanipaa
na ukiniacha mii ntazikwa
mataa wee matataa mtotoo swadakta me
nshadataa
we kopaa me ntalipa
am in love with youu
Unanivundisha vya kinyakwisaaa
unanipeleka mpaka nafikaa
Umenikomesha mpaka nasemaa ahhh eee ii ooo uuu
Unanivundisha vya kinyakwisaaa
unanipeleka mpaka nafikaa
Umenikomesha mpaka nasemaa ahhh eee ii ooo uuu
it is a beautiful love it is a beautiful time X 3
We call it love we call it X 3
