Lyrics

Rayvanny – Forever Lyrics

Rayvanny – Forever Lyrics. The song proves his love to his beautiful Fahyvanny and promise to love her forever. She mean the world to him. Here are the lyrics to “Forever” by Rayvanny:

Nilianza kusikia sauti yako kabla sijaona sura 

Ikafanya nikageuka 

Macho yangu yakakutana na yako 

Oooh Mashaallah 

Nikahisi Malaika ameshushwa 

Maana rangi macho umbo lako 

Likanivuta kwako tuongee 

Nikakuuliza jina lako namba yako 

Ndio ulikuwa mwanzo wa mi na wewe 

Uuub baby 

Umenifungulia dunia ya mapenzi 

Nimesahau mateso

Nakufungulia dunia ya kukuenzi 

We ni wangu leo na kesho eeeh 

Nakupenda sikuachi we ni wangu 

I promise 

Nakutaka kando yangu sikuachi 

I promise 

Mi na wewe forever forever 

Forever me and you 

Me and you forever baby 

Forever forever mi na we 

Nitazikwa Nawe 

Mtoto mbichi teketeke 

Aki mama umelainika 

Umeumbika acha nikumwagie sifa 

Waruke sarakasi na mateke 

Uzuri wako hawatofika 

Mama umejazisha 

Mikate ya kumiminisha 

Baby waonyeshe cheko (cheko) 

Wape mideko (deko) 

We mzuri filter na make up 

Waachie wao 

Na unawapa mates (teso) 

Watajifunika leso 

Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao 

Aiyaa yaaah  

Umenifungulia dunia ya mapenzi 

Nimesahau mateso

Nakufungulia dunia ya kukuenzi 

We ni wangu leo na kesho eeeh

Nakupenda sikuachi we ni wangu 

I promise 

Nakutaka kando yangu sikuachi 

I promise 

Mi na wewe forever forever 

Forever me and you 

Me and you forever baby 

Forever forever mi na we 

Nitazikwa Nawe

Download Mp3

Telegram
eskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escorteskişehir bayan escort - escort eskişehir - eskişehir escort - izmir escort bayan - escort