(Download and Stream Audio by Ben Pol – Nikikupata Mp3 on Wasafimusic.com)
Ben Pol – Nikikupata
- Artist Name: Ben Pol
- Track Title: Nikikupata
- Recorded: 20’s Music
- Country: Tanzania Music
- Category: Bongo Fleva
AUDIO Ben Pol – Nikikupata Download
Its Brand new day again we bring the new Mp3 audio released by Tanzanian best musician artist Ben pol on his super audio titled Nikikupata.
In his audio came out with great impression and excited feeling Love, dedicated to the fans. Download, stream, listen and share a hot Mp3 audio.
Download and stream Ben Pol – Nikikupata audio below!
DOWNLOAD MP3
Lyrics
Verse 1
Maisha yangu mi,
nimeshafanya vingi na (kukutana na wengi)
Kama warembo nao,
nimeshakuwa na wengi ila (sio siri umewazidi)
Hook
Uzuri sio sura ma,
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani,
Bali nzuri tabia,
Hekima na ukarimu wako busara na Imani (x2)
Chorus
Nikikupata,
Milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda,
Mpaka mwisho wa uhai (x2)
Verse 2
Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
(Wawili kuaminiana)
Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
(Mi nawe tukipendana)
Na mi ninaapa
Kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya
Kinyume na thamani ya pendo nikakosa
Aah
Hook
Uzuri sio sura ma,
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani,
Bali nzuri tabia,
Hekima na ukarimu wako busara na Imani (x2)