Audio

D Voice – Mtamu Audio: A Must-Listen for Singeli Fans

Tanzanian singer-songwriter D Voice continues to expand his musical repertoire with the release of his latest single, “Mtamu.” This lighthearted and playful love song explores the theme of drunken affection, painting a humorous yet endearing picture of how alcohol can enhance one’s romantic endeavors.

The song’s lyrics playfully suggest that when under the influence of alcohol, the singer transforms into a more affectionate and passionate lover, capable of making his partner feel “sweet” and “delicious.” Read the song lyrics below;

aaah…
Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezaga ila tatizo naona aibu.
Style zote mbaka na kuvunja chaga, naziweza ila mbaka niwe na vibe.
(chorus)
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamu
ooya
Ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamu
mwenzako hivihivi na kuwa sinogi nipe japo kidogo ni changamshe body
mwenzako hivihivi na kuwa sinogi nipe japo kidogo ni changamshe body
hayaa…
Ndo maana unaona kama mimi nakuzingua tatizo sijapata dawa dawa
Ngoja nipate hata moja bia nitakupa vitu yaaani mbaka utapagawa
Au kama unabisha nipe kidogo nionje mi stimu yangu shisha janga na pombe
Mwili ukipata stata kwenye bed usiombe haunipati kwa mkongo hata ukinywa vidonge
(chorus)
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamu
oyaa
Ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamu
Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi nipe japo kidogo nichangamshe body
mwenzako hivihivi nakuwa sinogi nipe japo kidogo nichangamshe body
weweee
Haya dada tikisa kalio kalio kalia koo wasiokuwa na mwenye ngongingo warushe roho
We dada tikisa kalio kalio kalio kalia koo wasiokuwa na mwenye wowo warushe roho
haya sasa nitikisie maboga nitikisie mamboga mboga nitikisie maboga nitikisie mamboga mboga
hamisi chacha kaona paja kadata sasa chobo za nini wakati nimekuacha
hamisi chacha kaona paja kadata sasa chobo za nini wakati nimekuacha
sitaki michobo na wewe mimi mwenzako
sitaki michobo na wewe mi aku..
sitaki michobo na wewe
weee

Mtamu” is a refreshing addition to D Voice’s growing discography, demonstrating his willingness to experiment with different musical styles and themes. The song’s catchy melody, relatable lyrics, and humorous undertones make it an instant earworm that is sure to have listeners humming along and tapping their feet.

Shares:
2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *