Lyrics

Ibraah – Dharau Lyrics ft. Harmonize

“Dharau” is a song by Tanzanian singers Ibraah and Harmonize. The song was released in 2024 and quickly became a hit, topping the charts in Tanzania and East Africa.

The lyrics of the song are powerful and moving. They speak to the universal experience of heartbreak and loss. The song is also a reminder that even in the darkest of times, there is always hope for a better tomorrow.

Read the Lyrics Below;

Mhhhh
aaaaaah
kombo crush
Chinga again
is konde music world wide
Eeeeeeh awooooo
Chibiiiiiii
Mungu alonipa ukilema Hawezi ninyima mwendooo
Na sikupanga imenibidi kulivua pendo
Maana mwanzo nilidhan utabadilika
Of course hakuna aliyekamilika
Saa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi purukushani
Kama unajiona kichwa shingo nani
Mi sipendi Dharau
Manyanyaso…
Dharau
Masimango…..
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Dharau
Manyanyaso
Dharau
Masimamango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
beat
Mhhhhh aaaaaah oooohh
aaaaaah aaahhhhh
Yeah
Mi nilidhurumu nafsi
Kujikirikisha Nikiamin mi mtu wa mtu
Kumbe bora ningechuku chuku aaaah kidogo ningefanya utukutu
Moyo ndo ulikupa nafsi
Chakusikitisha nachoambulia maumivu tupu
a Bora ningechukuchuku aaah kidogo ama ningewapa wakifanye supu
Kwako nilikuwa nyendo sina
Nikijuaga my destiny
Sina wa kumtunzia heshima
Kama hata we nitashindwa kukuthamini
Ni kweli utakwenda mazima
Japo itakuwa ngumu kuamini
Nitamisi michezo ya mama Amina ya kucheza kwa kuburuza ulimi eeih
Mapenzii uliyonipa weee
Wallah mi sikutamani mwingine awe wa kiapo
Mwenzangu umebadilika weeeh aaah Japo mi nakupa utakacho
Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi aah ndo mana hatuendi we
CHORUS
Dharau
Manyanyaso….
Dharau
Masimango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Dharau
Manyanyaso
Dharau
Masimango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Yao yao
dharaaau
manyanyaso manyanyasooooo
eeeieh
Konde boi call mi no 1 bakhresa

Conclusion

“Dharau” is a powerful and moving song about love, loss, and finding peace. The song has had a significant impact on Tanzanian culture, and it is sure to continue to be enjoyed by fans for years to come. Stream below;

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *