Tech Corner

INFINIX YATANGAZA DEAL NENE KWA WENYE VIPAJI Marioo na Chino Bega kwa Bega kwenye hili.

INFINIX YATANGAZA DEAL NENE KWA WENYE VIPAJI Marioo na Chino Bega kwa Bega kwenye hili.

Je, uko tayari kujishindia kiasi cha sh.1,000,000, kuperform jukwaa moja na Marioo na kupata nafasi ya kurecord Audio na Video buree kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi Infinix Tanzania?

Basi haujachelewa lile shindano la Infinix Star Alliance talent chance #SpidiKasi linaendelea kupamba moto shiriki bila ya kuchelewa yani kama unakipaji cha kuimba, kucheza au kurapu changamkia fursa mwisho wa shindano ni July 25.

Iwe wewe ni muimbaji kwa njia ya rapu au kawaida au ni mchezaji mzuri wa nyimbo mbalimbali chukua simu yako sasa jirekodo ukiwa unafanya kati ya hayo post katika ukurasa wako wa instagram ukiwa #SpidiKasi #GusanishaIjae ubunifu wako na muingiliano mzuri wa watu kwenye post yako ni kigezo kimoja wapo katika kumpata mshindi.

https://www.instagram.com/p/CteVwQ8A3AP/?img_index=1

Iwapo umesahau Infinix Tanzania Mwezi wa Juni Mwaka huu ilizindua Infinix NOTE 30 Series, Simu za Infinix NOTE 30 zimeundwa kwa teknolojia ya kisasa ya Fast Charge ambayo inasaidia njia nyingi za kuchaji, ikiwa ni pamoja na kuchaji kwa waya, kuchaji kwa haraka bila waya, kuchaji nyuma kwa kugusanisha na simu nyengine. Kwa hiyo, unasubiri nini? Nyakua simu yako, onyesha kipaji chako na utume bila kusahau #SpidiKasi #GusanishaIjae

Piga 0744606222 kwa maelekezo zaidi.
Shares: