Jay Melody – Nitasema Lyrics
Nitasema serves as Jay Melody’s first music release for year, check out the lyrics below. The young talented dude has been doing good in the bongo fleva music industry.
Jay melody started his music carrier just as a song writer, writing many songs to different artists including Nandy. This hit song follows ‘Nakupenda‘ released just few months ago.
Listen and sing to Jay Melody – Nitasema Lyrics Below;
Mh Mh Oh Nananaa
Sioo unitoke hata mara moja akili mwangu
Ohh mara moja
Ninayopitia ni kama umeniroga haya mapenzi yamenipa gonjwa
japo sijawahi kukwambia jinsi ninavyokuota
nakuzimia moyo umeuokota
Hii dunia, nimempenda mmoja
hizi hisia nitakwambia how i feel
Ahhh Ahhhh how i feel
Aahhhh nitasema mi
Ahhh how i feel nitasema mi
Ahh na vitu vyako vinachanganya Ahhhh
unigusapo kwisha mwenzio ahhh
Your magnitoo unanivutaa hapooo
Utanitoa Rohooo Jamanii iiii
Unanikosha unaniwashaa unalia paaa moyo wangu
Unanikosha unaniwashaa unalia paaaa Mhhhh
japo sijawahi kukwambia jinsi ninavyokuota
nakuzimia moyo umeuokota
Hii dunia nimempenda mmoja
hizi hisia nitakwambia how i feel
Ahhh Ahhhh how i feel
Aahhhh nitasema mi
Ahhh how i feel nitasema mi
Unanikosha unaniwashaa unalia paaa moyo wangu
Unanikosha unaniwashaa unalia paaa moyo wangu