Audio

New Song: Kontawa – Shamba La Maajabu

Kontawa – Shamba La Maajabu

  • Artist Name: Kontawa
  • Track Title: Shamba La Maajabu (Audio)
  • Recorded: 2023 Music
  • Country: Tanzanian Music
  • Category: Latest Music Song

Kontawa – Shamba La Maajabu Lyrics:

Nilikua natoka bongo naenda Zanzibar
Si unajua kontawa ni mtu atari
Kwambali nikaona mrembo yani pisi kali
Nikaamua kumfata nikajaribu zari
Ile kufika nkamwambia

Mambo dada eh akanijibu shwari
Nikamwambia mwenzako huku zanzibar
Nakujaga na gari
Akacheeka

Na kwa jinsi alivyo mzuri nikamsifia
Nikamwambia tuu ukweli na mzimia
Nikaahidi chochote kumpatia
Ata asipoona siku zake ntamtaftia
Basi nikampa story yangu ya gerezani
Kisha nkamwambia ukweli mimi na nani
Mara mtoto akajaa kwenye remani
Akasema tukifika twende forodhani
Demu kisiki ila kontawa nimeng’oa
Kilichobaki kuchomeka kuchomoa
Nikampigia shkanda nikwambia
Nimepata kamba kali
Natakaa kufunga ndoaa

Ndoooa ndoa ndoooaa

Nikamuuliza kwenu mjini au kijijini
Akanambia kwetu sisi ni baharini
Haikuniingia akilini
Nikamuuliza baby kwani unamaanisha nini
Akasema yee ni jini ye ni jiniii Eh
Ametokea kuniamini niaminii Eh
Anataka kuwa namimi kuwa namimii
Tukaishi baharini baharinih nikaogopa
Eeh, akasema nikikubali awe mpenzii wangu
Eeh, game ya bongo fleva itakua yangu
Oh na na nana
Akanambia kabla atuja kwenda kwako anataka kunipima
Akesema atanipa shamba ili anipime kama najua kulima

Hilo shamba la maajabu
Jamani shaùmba la maajabu
Sjaona shamba,oyaa shamba la maajabu
Eti ilo shamba lina majani pembe
Ilo shamba uwezi kuliona kizembe
Ilo shamba kwanka alilimwi na jembe
Ilo shamba linalimwa na kiwembe
Ilo shamba linatembea na alina miguu
Uwezi amini ilo shamba linaelea juu
Ilo shamba lina matuta mawili tuu
Moja la viazi na lengine nila vitunguu

Nnapojaribu kutafakari me mwenzenu, nakosa jibu
Sjui nani nimuulize swali uwenda labda, atanipa jibu
Shambaa ilo
Shambaa ilo
Shambaa ilo

Telegram
Shares: