Lyrics

Kusah Ft Maua Sama – Wenyewe Lyrics

Mmmmh (eeiyeeh)
Mmmmh (iye yeyeyeeh)
Ni Kusah tena (Jini X66)
Kama ni gari
umeliwasha limewaka
Na niko shwari (yeiyeeh)
Ukiwa kando sina mashaka
Vile vituko vya chumbani, viudi na ubani
Vagi la sunami hadi nasema kunani
Iwe baridi kali ama joto, yani kwenye raha na msoto
Ntabaki ni nawewe, Ntabaki ni nawewe
Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
Yani we kulia mi kushoto
Ntabaki ni nawewe, Ntabaki ni nawewe
Haya mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Jama mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
(Beat)
Heloo, tuhame huku kwenye bangaloo
Twende Masaki tuwarushe roho
Mapenzi yetu yawakabe koo, halooo
Mwendo wa kupima, uzuri flani rangi ya Madina
Nikutoe dinner, wavimbe macho kama wachina,
oooh
Iwe baridi kali ama joto, yani kwenye raha na msoto
Ntabaki ni nawewe, Ntabaki ni nawewe
Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
Yani we kulia mi kushoto
Ntabaki ni nawewe, Ntabaki ni nawewe
Haya mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Jama mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi

Telegram
Shares: