Audio

AUDIO | Ukhty Dida – Wapeni Njia Warembo | Download

Ukthty Dida - Wapeni Njia Warembo
  • Artist Name: Ukthty Dida
  • Track Title: Wapeni Njia Warembo
  • Recorded: 2021 Music
  • Country: Tanzania Music
  • Category: Taarab Music

Download hapa mziki wa taarabu from Ukthty Dida – Wapeni Njia Warembo out today. Listen and share the taarabu music Ukthty Dida – Wapeni Njia Warembo, download taarabu ya dida Wapeni Njia.

Ukthty Dida – Wapeni Njia Warembo Lyrics:

Lulululuuululuuuuu.
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haoooMaji ya uvuguvugu, Haiyaaa
Mtengee akaoge, Haiyaaa
Mume hataki vurugu, Haiyaaa
Anataka utulivu, Haiyaaaa
Mpake poda mumeoo, Usijempaka jivu
Raha ya penzi linogee, Wala usiwe na wivu
Kamtunze mume wako
Hoooohoo!! Wala usiwe na wivuWapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haoooA’shife upende tunda, Haiyaaa
Na wazee kuwapenda, Haiyaaa
Na pendo litapoanza, Haiyaaa
Na waridi litatanda, Haiyaaa
Ujue ja kumlinda, Asiwe kutwa aranda
A’shife usijeshindwa, Presha itakupanda
Kuna watu wamuwinda
Haaaahaa!! Mara watamnyakuaWapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haoooKuna maneno laini, Haiyaaa
Yatoa nyoka pangoni, Haiyaaa
Kwa mapenzi ni fashen, Haiyaaa
Mume atabaki ndani, Haiyaaa
Ukijifanya muhuni, Atajatoroka ndani
Kuna wanomtamani, Ni watoto wa mjini
Utabaki laitani
Hiiiiii, iiih!! Sisi tushamnyakuaWapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haiyaaaa
Haiyaaaa
Vigelegelee kidogo, Haiyaaa
Harusi pambe si pambee
Vigelegele kama maharusi
Raha si Rahaa
LululululuuuuuuuhWenye shughuli wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Ah wenye shughuli wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Wenye shughuli wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Wenye shughuli wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Ah Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaonaMama mzazi ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Ni mama Aziza ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na mama mdogo ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Mama binunuu ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang’ara sana, Wamefurahi sana leo atawaonaMadada harusi wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Dada mamu ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na dada Masha wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na dada ramla ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang’ara sana, Wamefurahi sana leo atawaonaDada subira wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na dada salha wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na dada maida wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Madada harusi pambee, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang’ara sana, Wamefurahi sana leo atawaonaNdugu harusi wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Dada layla utambe leo, Wang’ara leo atawaona
Ummu Said Ndege nawe, Wang’ara leo atawaona
Amina Amyk ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Naye Asha Ally, Wamefurahi sana leo atawaona
Na Fat’hiya Khator, Wamefurahi sana leo atawaonaNdugu Far’hat ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Ndugu Far’huya ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na ndugu Fadya ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Zulekha Nassor ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Ndugu Mamu Hamid, Wamefurahi sana leo atawaona
Na ndugu Nunuu, Wamefurahi sana leo atawaonaNdugu Shadida anang’ara, Wang’ara leo atawaona
Vigelegele kwa sana, Wang’ara leo atawaona
Na mashangazi wang’ara nao, Wang’ara leo atawaona
Ant Shufaa ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena watamba sana, Wamefurahi sana leo atawaonaAnt Rabiyah ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Ant Raufah ang’ara naye, Wang’ara leo atawaona
Ant Asha Omar ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Mashangazi Wang’ara hao, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena watamba sana, Wamefurahi sana leo atawaonaTeam Azizimi wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Na team Bandarini wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Team Azizimi wang’ara hao, Wang’ara leo atawaona
Team Bandarini wang’ara nao, Wang’ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang’ara sana, Wamefurahi sana leo atawaonaMadada harusi wang’ara, Wang’ara leo atawaona
Dada Mamu na Da masha, Wang’ara leo atawaona
Ramla na Subira, Wang’ara leo atawaona
Salha na Layla, Wang’ara leo atawaona
Na dada Mayda, Wamefurahi sana leo atawaona
Madada wanang’ara, Wamefurahi sana leo atawaonaMama mzazi ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Mama Aziza ang’ara, Wang’ara leo atawaona
Madada harusi mupoo, Wang’ara leo atawaona
Madada harusi safii, Wang’ara leo atawaona
Mumefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena mwatamba sana, Wamefurahi sana leo atawaona
Aaaiiiiiih, iihiihiii.Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Twatamba naye
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkisema, Mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkinuna, Mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Leo tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkisema, mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkinuna, mama harusi tunaye wetu wenyewe
Hata mkicheka, mama harusi tunaye wetu wenyewe
Hata mkisema, mama harusi tunaye Wetu wenyewe eeeh

DOWNLOAD MP3

Check wasafimusic.com daily as we do our best to curate and recommend you the top and best new African music releases, from Taarabu music to Bongo music and all East African Music and afrobeats music releases.

Telegram
Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *